Askofu Zachary Kakobe leo saa 4 asubuhi anatarajia kufika Ofisi za Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano kufuatia barua aliyoandikiwa Aprili 5.
Akihubiri kanisani kwake jana alisema, yeye sio unyasi unaotikiswa na upepo na kuwa licha ya magumu atashinda.