Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia mmiliki wa lori aina ya Mitsubishi Fuso lililogongana na basi la City Boy wilayani Igunga, mkoani Tabora wiki iliyopita na kusababisha vifo vya watu 12.
Aidha Polisi bado inawasaka dereva na utingo wa lori hilo waliokimbia.