HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumatatu, 9 Aprili 2018

Breaking News: Ajali NYingine Yaua Nane Mbeya

Breaking News: Ajali NYingine Yaua Nane Mbeya

WATU nane wamefariki dunia papo hapo na mmoja amejeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Toyota Noah kugongana na basi katika eneo la Igodima nje kidogo ya Jiji la Mbeya. Kaimu Kamanda wa Polisi Mbeya, Mussa Taibu amethibitisha.
Ajali hiyo imetokea leo Jumatatu Aprili 9, 2018 mchana ikihusisha Noah yenye namba za usajili T 649 DEA na basi la Igembesabo katika Barabara ya Chunya Mbeya huku chanzo cha ajali hiyo kikiwa hakijulikani.
Endelea kufuatilia habari zetu kwa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.katisha.blog


DOWNLOAD KATISHA BLOG  APP KWENYE PLAY STORE