HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Alhamisi, 12 Aprili 2018

Iren Uwoya achora tattoo ya Mpenzi wake

Iren Uwoya achora tattoo ya Mpenzi wake

Ndoa kati ya muigizaji wa Bongo movie Irene Uwoya na staa wa muziki wa Bongofleva Dogo Janja inaonekana yazidi kupamba moto baada ya wawili hao kuamua kuweka mapenzi yao hadharani na kutokujali wa wanaowakosoa kwa kupishana kwao umri.

Irene Uwoya azidi kuonyesha mapenzi kwa mume wake Dogo Janja baada ya kuamua kuchora tattoo katika mwili wake nakuandika Abdul ambalo ni jina halisi la mume wake Dogo Janja.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dogo Janja, amepost picha ya mkewe inayoonyesha Tattoo hiyo na kumuandikia maneno yafuatayo:-

Ahsante Mke Wangu, Nichore Na kule Ninapopaonaga mimi tu