HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Ijumaa, 13 Aprili 2018

Ligi kuu uingereza michezo migumu

Kuelekea Matchday 34 , Vigogo wa Ligi kuu ya Uingereza watakabiriwa na michezo migumu ; Man City atakuwa ugenini dhidi ya Spurs , Liverpool atakuwa Anfield dhidi ya Bournemouth , Chelsea atakuwa ugenini dhidi ya Southampton ,Huku Arsenal atavaana na Newcastle nyumbani kwake .Michezo mingine itakayopigwa wikiendi hii kwenye EPL ni :-

Manchester United vs Westbrom
Westham vs Stoke
Huddlesfield vs Watford
Swansea vs. Everton
Crystal Palce vs. Brighton
Burnley vs. Leicester City (LIVE kupitia TV1 Tanzania)

Pep Guardiola atakuwa na wakati mgumu akisaka pointi akiwa ugenini dhidi ya Spurs , Je! Ataweza kukamilisha harakati za kutwaa ubingwa kwa Spurs ? Southampton wataweza kumbania pointi 3 Antonio Conte ? The gunners wanaonekana kufufuka ,Vp watakapo mkabiri Newcastle United ?

Usikose kuungana na wachambuzi wako mahiri Evans Mallya na Wilson John wakiongozwa na Ally Kashushu kwenye kipindi cha Kandanda la PL (Yatakayojiri) ifikapo saa 2:00 kamili usiku LIVE kupitia Tv1 Pekee !