Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Llissu leo atafanyiwa upasuaji mwingine katika mguu wake wa kulia. Upasuaji huu utakuwa ni wa 20 tangu alipoanza kutibiwa, baada ya kushambuliwa kwa risasi mjini Dodoma, Septemba mwaka jana.