Patashika ya Ligi kuu soka Tanzania bara kuendelea leo,
Katika dimba la Taifa, Yanga SC kukipiga na Singida United, utashuhudia pambano hili Live kupitia Azam Sports 2, kuanzia saa 10:00 Jioni.
Katika uwanja wa Mwadui Complex wenyeji Mwadui FC kucheza na Lipuli FC Wanapaluhengo, Azam Sports HD, kukuletea mbashara mchezo huu, kuanzia saa 10:00 Jioni.