Serikali imepanga kuajiri watumishi wa kada ya afya wapatao 25,000 katika mwaka wa fedha 2018/19. Kauli hiyo imetolewa bungeni mjini Dodoma leo Jumatatu Aprili 23, na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Josephat Kandege wakati akijibu swali la Mbunge wa Mbulu Mjini, Zacharia Issay (CCM). Katika […]
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->