Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetaja changamtoto tano za uendeshaji kesi zinazotokana na makosa ya mtandao. Changamoto hizo zimetajwa kuwa ni uelewa mdogo wa majaji, mahakimu na wanasheria, ushahidi wa kuwasilisha, kufutika kirahisi, uchunguzi, na wapi pa kupeleka malalamiko hayo. Mwanasheria mwandamizi kutoka TCRA, Dk Philip Philikunjombe amewataka majaji na mahakimu na wanasheria […]
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->