Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo aelezwa kusikitishwa na taarifa ya ajali ya gari iliyompata Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, Mhandisi Ngusa Izengo iliyotokea usiku wa kuamkia leo eneo la Chalinze Nyama, nje kidogo ya Mji wa Dodoma.